,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, September 27, 2016


Diamond

 
Diamond na mpenzi wake Zari.Kutoka kushoto Moses Iyobo, Aunt Ezekiel, Diamond na Zari.

Mwanamuziki Diamond akiwa katika mapozi tofauti na mchumba wake Zari na baadhi ya marafiki zao.
Mwanamuziki Nassib Abdul amedhihirisha ule usemi wa wahenga wa zamani kwamba pesa maua na ukiwa nazo unaweza kufanya jambo lolote lile chini ya jua na hakuna wa kukuzuia.

Baada ya kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mchumba wake Zari, aliyezaa naye mtoto mmoja na ambaye ni mjamzito kwa sasa wawili hao bado wapo visiwani Zanzibar wakiendelea kula bata hata baada ya kumalizika kwa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Zari iliyofanyika visiwani humo .

Na Leonard Msigwa/GPL.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi