,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, September 8, 2016

shishi
Msanii wa muziki, Shilole ameweka wazi jinsi alivyopata wakati mgumu kuicheza scenes ya mahaba katika video ya wimbo ‘Natafuta Kiki’ ya Raymond.
Scenes hiyo inamuonyesha muimbaji huyo wakati akishikwa shikwa na baadae kupigwa denda.
Muimbaji huyo amesema alilazimika kunywa pombe ili aweze kuicheza scenes hiyo ya mahaba.
“By the way it was very very bad kwangu, ikanibidi ninywe whiskey kidogo ili niweze kuchangamka,” Shilole alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV Alhamisi hii.
Video ya wimbo huo wameonekana mastaa mbalimbali akiwemo Wema Sepetu, Harmonize, Chege, Mose Iyobo, Snura pamoja na Faza Kessy.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi