,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, September 20, 2016

Bado aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’, ameukamata vilivyo moyo wa aliyewahi kuwa mpenzi wake, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kwani bado mrembo huyo ana mapenzi ya dhati kwa jamaa huyo aliyefariki dunia Aprili 7, 2012.
Wema alilifungukia Wikienda kuwa, katika maisha ya mapenzi, binadamu huwa anapenda kwa dhati mara moja na ndicho kilichompata yeye kwani mapenzi ya dhati na ya kweli yalikuwa kwa Kanumba.

 “Kiukweli niliwahi kupenda mara moja tu na nilifanya hivyo kwa Kanumba, namkumbuka siku zote na huwa namuombea kwa Mungu amlaze mahali pema peponi,” alisema Wema aliyeonekana kulengwalengwa na machozi

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi