,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, September 11, 2016Baada ya Zari Hassan kupost Kwenye Page yake ujumbe tata ambao unawagusa wanawake wanao nyakua nyakua waume za watu kwa siri siri , Ujumbe huo inaonekana umewagusu baadhi ya wadada wa mjini na kuhisi moja kwa moja kuwa wanasemwa wao...Mmoja wapo aliyepatwa na dogo la zari ni Mrembo Huddah Monroe Kutoka Kenya Ambae ameamua kujibu kwa Kuandika haya hapa Chini:Huddahthebosschick

Kuna mtu anatafuta Kiki Kwa Nguvu na Kwangu hapati ngo' huna jipya😂' ...... I'm busy Building my HUDDAH BUSINESS EMPIRE ... I don't fight with people the age of my mom on social media . I'm better than that and I don't want to end up a broke cougar dating young boys for money and fame! Stop letting your mid-life crisis out in the public, unajiaibisha. .... Act your AGE grandma! #MistressOfAllTrades

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi