,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, September 21, 2016Ndege mpya ya AirTanzania ikimwagiliwa maji jana baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Dar, kitendo kilichozua kelele nyingi kutoka kwa Viongozi na Mashabikiwa UKAWA kwamba huenda ndege hiyo ni mbovu kama tulivyozoea huko miaka ya nyuma.
Kumbe ni utamaduni wa Dunia nzima kila ndege mpya inaponunuliwa ikitua iliponunuliwa humwagiwa maji na magari ya Zimamoto kama picha zingine hapa chini zinavyo onyesha live!!


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi