,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, September 22, 2016

Coke Studio ndio kitu ambacho kinasubiriwa kwa hamu kubwa Oktoba hii. Inayovikutanisha vichwa vikali vinavyofanya poa sana Afrika na hata dunia kwa ujumla katika tasnia ya muziki.Imethibitishwa kuwa msimu huu msanii Trey Songz atajumuika na vichwa vikali vya Afrika kufanya kitu katika msimu huo wa Coke Studio.

Kibongo bongo mwanadada Vanessa Mdee naye yumo kwenye idadi ya wasanii ambao wataumiza kinoma noma msimu huu.
Na mchana wa leo mrembo huyo ameikeep busy account yake ya Snapchat kwa kujiselfisha mavideo ya kinyama na wakali kama Dj Maphorisa wa South Africa, Trey Songz na wengineo.
Itazame video hii hapa chini umchei mwanadada huyo anavyo jiachia na kina Trey Songz

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi