,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, September 17, 2016

Hawa kwenye Picha ni ndugu Wawili wa juu aliwahi kuwa Mke wa Le Mutuz Nation, na chini ni mdogo wake anayetumia jina la @sekela kwenye mitandao ya kijamii kwa pamoja wamekuwa wakishirikiana kumchafua sana The King Of All Bongo Social Media Network na Mmmiliki wa blogu hii. Hawakuishia kumchafua tu bali kwa nyakati mbali mbali wamejaribu sana kuiomba Interpol, TCRA na Ubalozi wa Marekani waifunge Blogu hii, lakini wamekuwa wakipiga ukuta. aliyekuwa Mke wa Le Mutuz Nation ambaye ni mfanyakazi wa Ubalozi wetu Tanzania huko UN kazi aliyotafutiwa na Baba yake Le Mutuz amediriki kwenda mbali sana mpaka kumtumia Mwanadada maaarufu sana kwa kushambulia na kudhalilisha Viongozi na Wananchi kwenye mitandao ya kijamii anayeishi Marekani pia kwa jina la Mange Kimambi. Kuna wakati alifikia mpaka kumpa copy ya Passport ya Le Mutuz ili aitumie kumchafua lakini sasa imejulikana wazi kwamba Anita ndiye amekuwa mtu wa kati kwenye adhma hiyo ya kumchafua Le Mutuz ni baada ya Anita kumtumia message Mange ambayo kwenye kuitundika mitandaoni Mange alikosea na kutofuta sura ya Anita ambayo wajuzi wa Mitandao waliifutilia na kuishia kugundua kwamba ilitokea kwa Anita Magehema ambaye kwa sasa anaishi Canada. Blogu ya Wananchi ilipomuuliza maoni yake kuhusu suala hili Le Mutuz Nation alisema amesikia hizo habari lakini kwa sasa yupo busy sana na matayarisho ya ufunguzi wa Kituo cha Television huko Sinza Mori na kwamba hana muda kabisa wa kuongelea aliouita ujinga wa watu walioshindwa kuvuka maumivu ya maisha.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi