,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, September 21, 2016

Wananchi wa kitongoji cha kwebamba katika Halmashauri ya Bumbuli Wilayani Lushoto Mkoani Tanga wamemtaka Waziri Lukuvi kuingilia Kati mgogoro wa mipaka unaofukuta Kati yao na Halmashauri  ya korogwe kabla ya kutokea machafuko.
Mzee Athuman Akida  alisema kuwa ramani inaonyesha kuwa  kwebamba iko Bumbuli lkn wanawashangaa wilaya ya Korogwe kusema iko kwao.
Akida alisema mgogoro huo umekuja baada ya kitongoji chao kugundulika kina Madini aina ya Siricon.0 comments:

Post a Comment

ufunguzi