,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, September 20, 2016


Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandal, wema Isaac sepetu, hivi karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumsapoti( team wema) kuanzia Leo
waache kwani hawajui na wamekua wakimuaribia sana maisha yake, mrembo huyo aliendelea kutiririka kuwa team hizo zimekua zikimgombanisha na watu wengi na kuwa asilimia nyingi ni wanafiki, hivyo amewaomba wote wanajiita team wema waache mara moja na waanze kutumia majina yao kwenye mitandao ya kijamii. 

 Bonyeza Hapa  Chini Kumsikiliza:

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi