,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, October 21, 2016

50 Cent amerudi kwenye ugomvi tena na Baby mama wake Shaniqua Tompkins.
Rapper 50 cent ameshazoeleka kuwa na ugomvi na Baby mama wake Shaniqua Tompkins, Sasa Kupitia kurasa ya Instagram ya 50, ameposti picha ambayo inaonyesha ni notice ya kushindwa kulipa pesa ya mjengo wa nyumba ambayo alikuwa anakaa Shaniqua Tompkins pamoja na mwanae, katika kurasa hiyo 50 cent aliandika kwamba
“I hate to say I told you so, but I told you. Over and over go to work, this is real life. Good Luck !!!”
Baada ya 50 cent kuposti picha hizo, Shaniqua Tompkins. akaamua kuumalizia ugomvi katika kurasa zake za Twitter kwa kumwita 50 kwamba ni mgonjwa mwenye matatizo ya akili na kumuaidi kuwa atatoa Podcast ambayo itaelezea situation nzima jinsi ilivyokuwa.
Mental illness in the black community goes undiagnosed.. He needs to be evaluated and medicated!

Maybe if you ran your business like you run your mouth, Your Ceo and wouldn't ran off with the money..And the 35$ cat food on the Gunit Amex

2 Queens From Queens... My new Pod cast! Coming soon! All the real!! You will get to know me,through my PodCast!

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi