,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, October 28, 2016

 
 Oktoba 27 ndiyo tarehe aliyozaliwa staa wa Bongo Movies Aunty Ezekiel aka Mama Cookie. Mastaa mbalimbali wa Bongo kupitia akaunti zao za Instagram wamemtakia heri katika siku yake ya leo huku na yeye akitupia ujumbe huu;u; 
Happy more dan Miaka Yote Niliyowahi Kusheherekea Siku Yngu ya Kuzaliwa thanx Baba Cookie wang kwa kabintspecial.... kisha kuweka picha hii.

Naye mume wa staa huyo kutoka WCB, Moses Iyobo ameandika ujumbe huu; Happy birthday Mama cookie wangu mungu akutunze mke wangu…..Nakupenda leo kesho na milele….. ukiambatana na picha hii.
Wengine waliomtakia heri Aunty ni pamoja na shosti wake wa siku nyingi Madam Wema Sepetu aliyetupia mapicha kibao katika akaunti yake ya Instagram zikiwemo hizi;

Mtandao huu unamtakia kila la kheri katika siku yake ya kuzaliwa.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi