,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, October 26, 2016

whatsapp-image-2016-10-25-at-3-45-43-pm-3

Mwezi wa nne mwaka huu aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast,
Paul James maarufu PJ alihama kituo hicho cha redio na kujiunga E.FM.Baada ya muda kidogo mtangazaji huyo alirejea tena Clouds FM akitokea E FM. Kufuatia hatua hiyo, E FM imefungua malalamiko katika Tume ya Usuluhishi juu ya PJ ambaye alikuwa mwajiriwa wake.whatsapp-image-2016-10-25-at-3-45-43-pm

Comments

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi