,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, October 19, 2016

ngepicha

Mahakama ya Wilaya ya Ilala leo imefuta shtaka la unyang’anyi kwa kutumia silaha lililokuwa likimkabili Salum Njwete maarufu Scorpion baada ya upande wa mashtaka kuomba shtaka hilo liondolewe mahakamani.


Hatua hiyo imefikiwa baada ya upande wa mashtaka kuomba mtuhumiwa huyo afutiwe shtaka hilo kwa sababu hawana mpango wa kuendesha kesi kuhusu shataka hilo. Aidha, imeelezwa kuwa baada ya shtaka hilo kufutwa, upande wa mashtaka unatarajia kufungua shtaka jingine linalomkabili mtuhumiwa huyo.
Salum Njwete alifikishwa mahakani hapo akituhumiwa kumjeruhi Said Ally eneo la Buguruni kwa kutumia silaha ambapo inaelezwa kuwa alimuibia mali zake na kumtoboa macho yake.
Mtuhumiwa huyo bado anashikiliwa na Jeshi la Polisi.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi