,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, October 4, 2016

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo Oktoba 3, 2016 amemteua Erasto Mfugale kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Bukoba.


Erasto Mfugale anajaza nafasi ilioachwa wazi na Steven Makonda ambaye uteuzi wake ulitenguliwa Septemba 27 kwa tuhuma za kufungua akauti bandia ya Maafa Kagera. Kabla ua uteuzi huu, Erasto Mfugale alikuwa Mkuu wa Idara ya Ustawi wa Jamii katika Halmashauri ya Masasi mkoani Mtwara.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi