,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, October 18, 2016

Kesi ya Mbowe dhidi ya NHC yafutwa!!

Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi imefuta kesi iliyofunguliwa na Mbowe Hotels Ltd. dhidi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuwa Shirika hilo liliitoa kampuni hiyo katika jengo lake jijini Dar es salaam kwa kufuata taratibu zote na kuzishikilia mali zake kihalali.


Uamuzi huo umetolewa asubuhi hii na Jaji Sivangilwa Mwangesi, ambaye amesema madai ya Mbowe kwamba aliingia mkataba na NHC hayana mashiko na kwamba mkataba huo haukuwahi kutekelezwa.

Mawakili wa Mbowe Hotels John Mallya na Peter Kibatala wakiongea na waandishi wa habari mara tu baada ya uamuzi wa Mahakama wamesema hawakuridhika na uamuzi wa kufutiliwa mbali kwa kesi ya mteja wao.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi