,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, October 5, 2016

Baada ya kumalizika kwa ofa iliyokuwa imetangwa na ATCL, Nauli halisi zitakuwa kama ifuatavyo;-

  • Dar es Salaam – Mwanza kwenda ni shilingi 160,000 hivyo kwenda na kurudi ni shilingi 320,000.
  •  Dar es Salaam – Kigoma kwenda ni shilingi 395,000 hivyo kwenda na kurudi ni shilingi 610,000
  • Dar es Salaam – Arusha kwenda ni shilingi 180,000 hivyo kwenda na kurudi 360,000
  • Arusha – Zanzibar kwenda ni shilingi 249,000
  • Zanzibar – Dar es Salaam ni shilingi 123, 000.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi