,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, October 31, 2016


MOHAMED TRANS-SDC12108 (2).JPG

Mali za kampuni ya Mohamed Trans Limited zitapigwa mnada na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) baada ya kushindwa kulipa limbikizo lake la kodi analodaiwa.

Kampuni hiyo pamoja na mali nyingine, inamiliki mabasi ya Mohamed Trans yanayofanya safari zake kwenye mikoa mbalimbali.

Mnada huo utafanyika tarehe 4/11/2016.

Mnada huo utaendeshwa na Kampuni ya udalali ijulikanayo kama Sukah Security Company Limited Auction Mart & Court Broker.

Mnada huo utafanyika mkoani Shinyanga katika Yard ya Mohamed Trans.[​IMG]

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi