,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, October 15, 2016


Leo msanii Captain Tundaman kutoka Tiptop Connection iliyopo chini ya meneja Babu Tale amefanikiwa kutimiza nusu ya dini kwa imani ya dini yake (Kufunga ndoa)  huko mjini Morogoro.

Kitu ambacho ni cha kustaajabisha katika siku hii muhimu kwa msanii Tundaman ni kwamba meneja wakeBabu Tale hajaweza kuhudhuria katika tukio hilo muhimu la msanii wake. Ukizingatia timu nzima ya wasanii wa Tiptop Connection walikuwepo eneo la tukio.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi