,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, October 26, 2016

Baada ya maneno kibao kupitika mitandaoni kuihusu nyumba mpya ya msanii Diamond Platnumz iliyopo nchini Afrika kusiki jana mkali huyo ameamua kuianika nyumba hiyo na kutoa maneno kuntu yanayo daiwa kuwa ni vijembe kwa watu.

Ni kupitia mtandao wa Instagram ambako msanii Diamond Platnumz aliamua kuitumia page yake kama njia ya kufikisha ujumbe kwa walengwa baada ya kupost videos kadhaa zikionyesha sehemu tofauti tofauti za ndani na nje ya mjengo huo.
Wacha nikupe nafasi ya kuzisoma posts 4 kali ambazo zilizua gumzo katika mtandao huo wa instagram usiku wa jana.0 comments:

Post a Comment

ufunguzi