,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, October 6, 2016Diamond ameongelea project inayofata yamsanii wake kutoka WCB, Rich Mavoko.

Akizungumza kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, Diamond amesema wimbo unaofata wa Rich Mavoko inawezekana ikawa collabo na msanii wa Nigeria au na yeye.


“Rich ni msanii ninaye mkubali na inawezekana wimbo unaofata kutoka kwakwe akawa amenishirikisha mimi au akawa amemshirikisha msanii kutoka Nigeria” Diamond ALIFUNGUKA.

Pia muimbaji huyo wa ‘Salome’ amesema kuwa anavutiwa zaidi na uwezo wa uandishi wa mashairi wa Rich Mavoko.

Tazama Interview nzima hapa

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi