,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, October 31, 2016

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba ameweka wazi ni ngoma gani zinazomuhusu yeye ambazo zinatarajiwa kuachiwa hivi punde kabla ya mwaka huu haujaisha.
Akiongea kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Alikiba amefunguka kuwa kuna projects 3 ambazo zinatarajiwa kuachiwa hivi karibuni.
Ya kwanza ni wimbo ambao kashirikishwa na Ommy Dimpoz unaoitwa
“Kajiandae”, pia kuna ngoma yakwake mwenyewe ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibu ni na kisha kuna mipango ya kurejea kwa Kiba Square wakiwa na kazi mpya.
Itazame hapa chini hii video kumsikiliza mwenyewe akifunguka kuhusiana juu ya suala hilo.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi