,./.,

\\..\\

W

=====

,,

... ...

';';';';

,.,.

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, October 21, 2016

Elizabeth Michael Maarufu kama Lulu, leo alikuwa akijibu maswali ya mashabiki zake katika kurasa yake ya Twitter na mengi ameyafunguka ambayo watu walikuwa hawayafahamu.
Katika muendelezo wa kukalia kiti cha maswali katika mtandao wa Twitter, Papi Chulo kama kawaida akaona kwani shiling ngapi leo akimweka staa wa Bongo Movie Lulu, Mjadala ukaanza kwa kutumia hashtag ya #AskLulu ambapo mashabiki wa Elizabeth Michael walipata nafasi ya kutupa maswali yao na kujibiwa papo hapo.
GOOD MORNING,Msisahau leo ndio siku yetu ya Mtu kukalia KITI CHA MASWALI ifikapo saa 5 asubuhi - saa 6:30 Mchana atakuwepo @OfficialLizyM

JUMATANO hii katika kiti chetu cha Maswali atakalia Muigizaji Maarufu Tanzania LULU @OfficialLizyM atakwenda na Hashtag hii#AskLulu


Staa huyo wa Bongo movie, leo aliamua kuwa karibu na mashabiki zake wa kurasa yake ya Twitter na akaamua kufunguka mengi ambayo amekuwa akiulizwa na mashabiki zake na moja ya jambo kubwa ambalo amelisema hatokuja kulisahau ni pale alipopelekwa Jela.

Lulu amefunguka kuhusu maisha yake na mambo ambayo yanamzunguka kuanzia timu ya mpira anayoipenda, kitu anachopendelea kwenye mahusiano, msanii anayemkubali na mengine kibao.

Tazama Tweets za Lulu na mashabiki zakeSimshauri coz it's addictive ukichora moja unatamani nyinginehttps://twitter.com/donald_abel/status/788669893738651648 …

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi