,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

,.,.

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

\\..\\

Saturday, October 15, 2016

Kufuatia kuwepo kwa tetesi kuwa ameshawahi kutoka kimapenzi na Hit maker wa Single ya "Aiyola" Harmonize (japo wenyewe walikanusha) kutoka katika label ya WCB, Sasa Mlimbwende kutoka Kenya Huddah amnyatia Rayvannyhit maker wa Single ya "Kwetu" na "Natafuta Kiki" pia Kutoka Label ya WCB.Ubuyu huo umekuja baada ya Rayvanny kupost Picha katika Mtandao
waInstagram na Kuandika ujumbe uliosomeka "Unahisi nini kimenifanya nizubae".Katika hali isiyotarajiwa akatokea mlimbwendehuyo na kujibu Swali hilo kwa kuandika "Ukipata hela nyingi utakuwa mzuri sana..... I'll be waiting". Kufuatia ujumbe huo uliowatoa watu povu kupitia post hiyo kwa kusema mlimbwende huyo anamtaka kimapenzi msanii huyo.

Lakini Rayvanny hakuiacha ipite kimya kimya naye alijibu mashambulizi kwa kusema kuwa "Hahahahahah Zipo nyiiiiiiingi ushindwe wewe tu"huku akimtag Huddah.

Je nini maoni yako juu ya Couple hii.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi