,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, October 21, 2016

Beyonce ameingiza zaidi ya dola milioni 256 kwenye ziara yake ya dunia ya Formation iliyoanza April 27 na kumalizika Oct. 7. Tiketi milioni 2.2 ziliuzwa.

beyonce-jay-z-formation-world-tour-nj-2016-billboard-1548-559x520
Kwa mujibu wa Billboard, kila show iliingiza wastani wa dola milioni 5.2 na kuhudhuriwa na watu 45,757.
Show iliyoingiza fedha nyingi zaidi ni ya London kwenye uwanja wa Wembley July 2-3, ambapo Queen Bey aliingiza dola milioni $ 15.3 kwa kuuza tiketi 142,5000.
Kwa upande wa Marekani, show ya New York ndiyo iliingiza fedha nyingi zaidi, $11.5m kwa tiketi 73,486 kwenye show mbili.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi