,./.,

\\..\\

W

=====

,,

... ...

';';';';

,.,.

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, October 17, 2016

[​IMG]
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu 


"New Mimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.


Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na picha za Flaviana Matata akiwa katika pozi mbalimbali za matangazo ya nguo za kike.

Nilifurahi sana kuona mdada wa Kitanzania akiwa ndani ya mwamvuli wa Ralph Lauren.

Huenda tayari wengine mnalijua hilo lakini kwangu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwona akitangaza bidhaa za RL.

Safi sana mdada. Wewe endelea kupiga kazi na kuwakilisha. Utafika mbali sana."


Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top
Silk Sleeveless Top

[​IMG]

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi