,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, October 30, 2016

Warembo wapo katika dance ya ufunguzi , kuna wengine wanapatia steps wengine wanaenda tofauti ila wamependeza sana.Warembo wameshamaliza kupita na mavazi ya ubunifu, vazi la kitenge limetawala, aliyetikelezea na kuchukiza hiyo nawaachia wenyewe.
12:15
Vazi la ufukweni now , kivazi kimewapendeza sana , japo wakienda miss world lazima tu wavae kyupi nashangaa hapa wanavaa vikaptula na shati juu
Diana Edward Lukumai kutoka wilaya ya Kinondoni amefanikiwa kushinda taji la Miss Tanzania kwa mwaka 2016 mjini Mwanza baada ya shindano hilo kutofanyika kwa miaka miwili mfululizo.
Diana Edward Lukumai kutoka wilaya ya Kinondoni amefanikiwa kushinda taji la Miss Tanzania 2016 lililofanyika mjini Mwanza.
Shindano hilo lilifungiwa miaka miwili kutokana kukiuka taratibu walizojiwekea ikiwemo udanganyifu

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi