,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, October 16, 2016

“Habari mpya ni kwamba Diamond Platnumz atakuwa mgeni rasmi katika pati ya Zari All White Ciroc, najihisi niko sahihi kwa sababu sioni kama kuna ushindani wowote, huyu ni mtu wangu na itabaki kuwa hivyo,” 
Licha ya kumzidi miaka 10, Zari atangaza rasmi kuwa ni mtu wake wa karibu kwa sasa. 
Johannesburg/Dar. Baada ya kuukimbia ukweli kwa kipindi cha mwezi mmoja, mwanamuziki Diamond Platnumz amethibitisha kuwa na uhusiano baina yake na staa maarufu kutoka Uganda, Zari ‘The Boss Lady’ na kwamba atakuwa mgeni rasmi katika hafla yake ijulikanayo ‘Zari All White Ciroc’ itakayofanyika mwezihuu. 
Nyota huyo aliyevunja rekodi kwa kunyakua tuzo tatu za Channel O Music Video Awards (ChoMVA) wikiendi iliyopita, amekuwa akijadiliwa katika mitandao ya Tanzania na nje ya nchi kwa kuonekana na wanawake tofauti kila wakati, hali inayowachanganya mashabiki wake. Hata hivyo, Diamond hajasita kuelezea hisia zake za sasa na kwamba yupo tayari kuhudhuria hafla hiyo, inayotarajiwa kufanyika Desemba 18. “Nitakuwapo katika hafla hiyo, ni lazima nimuunge mkono, mbona kuna wengi wanaunga mkono na watu hawasemi, kama wanavyokaa kimya kwa wengine nahuku iwe vivyo hivyo,” alisema Diamond huku akishindwa kukiri moja kwa moja kwamba ana uhusiano na Zari, “waswahili wanasema A na B yote majibu.”>>>

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi