,./.,

\\..\\

W

=====

,,

... ...

...      ...

';';';';

';';';';
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, October 22, 2016

Siku izi kumeibuka mtindo wa kuvaa mavazi yanayoonyesha Nusu ya Mwili wa mwanamke... si hivyo tu wanawake na wasichana wengi wamekuwa wakitupia picha zao mtandaoni wakia na mavazi hayo kitendo ambacho ni kibaya zaidi. Sasa kama mwanaume mwenye akili kabisa unaweza ukamruhuzu mke wako au mchuba wako kuvaa mavazi haya na akapita mbele ya kundi la watu?? au ndo Fashion ya siku hizi!!
 


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi