,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, October 18, 2016


Kampuni ya Simu za mkononi Tigo leo imekabidhi msaada wa madawati 135 yenye thamani YA shilingi milioni 22 kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla kwa lengo la kuunga Mkono agizo la Rais kuwa watoto wote wakae katika madawati
Akipokea msaada huo Mkuu wa Mkoa ameishukuru kampuni ya Tigo kwa kuchangia madawati hii inaonyesha namna Tigo wanavyothamini wateja wao na kurejesha kwa wateja wake sehemu YA faida kwa njia YA kutatua tatizo la madawati na kuwasaidia watoto kukaa katika madawati.


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi