,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, October 21, 2016

Kama umewahi kujiuliza kwanini TECNO Phantom iwe chaguo lako jipya utakaponunua simu ya ndoto zako yafuatayo kuhusu uwezo wa Phantom yana mashiko ya kukuvutia bila kutegemea. Kwanza kabisa, tukiondoa upendeleo anaoweza kuwa nao msomaji kupitia maoni haya, naweza sema mimi sio balozi wa Tecno. Mimi ni mkosoaji wa wauzaji wa smartphone bomba sokoni, unaweza nifananisha na yule mwenye jicho la kuona utofauti ambapo wengine hawauoni. Ndio maana maoni yangu huwasaidia sana watengenezaji wa simu kufanya kubuni matoleo mapya ya smartphone bomba zaidi zenye kiwango zinazopendwa na wengi. Baada ya kuweka mambo sawa twende kazi sasa, simu yoyote ya Phantom itakupatia maboresho haya. 
Lenzi inayotumia teknolojia matata – Phantom inawapa watumiaji lenzi ya nguvu sio chaguzi 
Kutoka katika teknolojia inayotumia mwanga hafifu mpaka kwenye maboresho ya kiwango cha juu, tarajia TECNO Phantom ina kitu cha kuwaacha midomo wazi ikiwa ni maboresho upande mzima wa lenzi. 

Utakubali midundo yake 

Sidhani kama kuna smartphone nyingine yoyote inayotamba kwa ubora wa midumdo ya spika zake kwa kiwango cha HI-FI (sio kwamba hakuna nyingine zilizo bomba) kama yalivyo matoleo mengi ya TECNO Phantom. 

Mwamba wa ndani – Phantom Ina chipset babkubwa ndani yake inayotoa mahewa ya kupagawisha. 

Ukiongelea uwezo wa midundo ya TECNO Phantom, unazungumzia ubora wa prosesa yake aina ya nano iliyoboreshwa kutoka kwenye prosesa aina ya octa-core mpaka deca-core. Ni kitu ambacho TECNO inakuhakikishia na nina amini utakuwa umefanya utafiti kujua kwanini smartphone yako inahitaji chipset babkubwa kama hii.


Ulinzi zaidi

Tarajia kupata mfumo wa alama za vidole yaani“fingerprint”, screenlock na ambacho si cha kawaida nilichosikia kutoka kwenye chemba za kiteknolojia kuwa Phantom ya Septemba hii itakuja na mfumo wa scanner ya jicho.TECNO Phantom 6 itakayozinduliwa hivi karibuni itakuwa na utofauti ikiwa na mifumo ya ulinzi aina tatu (Alama za vidole, scanner ya jicho na aplikesheni).

Na hatimaye, ubunifu na vifaa bora

Kiukweli, mpaka sasa nimeona ubunifu kwa kutumia vifaa mbalimbali katika ushindani.
Licha ya hivyo, matoleo ya TECNO Phantom yenyewe yanatumia ubunifu wa kipekee unaoipa muonekano bomba wa nje, kitu ambacho mtumiaji yoyote wa smartphone watakubali kuwa uboreshaji huo ni dhahiri.Haya ndio maboresho tano unayoweza tarajia unaponunua TECNO Phantom.
 Unaweza kutembelea kurasa za mitandao ya kijamii ya Tecno kufahamu zaidi kuhusiana na Tecno Phantom 6

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi