,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, October 26, 2016

Baada ya ukimya wa msanii Q Jay Kutokea Wakali Kwanza, kuwa kimya kunako game ya bongo fleva kwa madai mbalimbali.

Ila sababu kubwa ya Ukimya wake ulitokana na kuamua kumrudia mwenyezi Mungu (Kuokoka). lakini kutokana na kuupenda muziki ameamua kuendelea na muziki wa kawaida lakini wenye mafundisho zaidi.
Wakali Kwanza, kundi ambalo limewahi kutikisa mawimbi ya redio na TV nchini kwa nyimbo kama Natamani na zingine, linatarajia kuvunja ukimya kwa kuachia kazi mpya iitwayo ‘Siishiwi Hamu.’
Moja kati ya muundaji wa kundi la wakali kwanza Mark Paul aka Makamua, amekiambia kituo kimoja cha redio hapa nchini kuwa “Q bado ameokoka nakurudi katika game nimapenzi yake, zaidi tutarajie makubwa kutoka kwao.” alisema Makamua

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi