,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, October 2, 2016Ilikuwa ni mida flani ya saa 9 kasoro kwenye kipindi cha My Playlist cha Times FM mchana wa leo ambapoDiamond Platnumz ndio alikuwa mgeni wa kipindi hicho na kuulizwa maswali kadhaa na Lil Ommy ambaye ndiye muendeshaji wa kipindi hicho.Katika segment ya chagua moja, moja, kati ya maswali ambayo Lil Ommy alimuuliza Diamond Platnumz ni“Ni msichana gani mwenye mvuto zaidi kati ya Wema na Zari?”Na majibu ya Diamond yalitoka moja kwa moja bila kupindapinda “Mama Tee”

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi