,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, October 14, 2016MAREKANI: Maafisa 10 wastaafu wa kitengo cha ulipuaji wa nyuklia wamepinga Donald Trump kuwa Rais. Wamedai hana utulivu wa kukabidhiwa kifaa cha ulipuaji wa bomu la nyuklia.
Maafisa hao katika barua yao wamesema mtu anayekabidhiwa jukumu hilo zito anatakiwa awe mwenye busara na maamuzi sahihi.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi