,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, October 17, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa mara nyingine amekagua utengenezaji wa meli mbili za mizigo katika bandari ya Itungi Kyela na kuthibitishiwa kuwa meli hizo zenye uwezo wa kubeba tani 1000 kila moja zitakamilika tarehe 30 mwezi huu
Aidha meli YA abiria 200 itakamilika mwezi wa pili mwakani
Mkuu wa Mkoa amesema kukamilika kwa meli hizo kutarahisisha biashara na usafiri kati ya Mkoa wa Mbeya na mikoa YA Ruvuma, Njombe na nchi YA Malawi

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi