,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, October 27, 2016

seven
 stori mpya ambayo mashabiki wamekuwa wakijiuliza bila ya kukosa majibu kutokana na kitendo alichokifanya meneja wa Diamond Platnumz, Sallam

Meneja huyo alipost picha ya meneja wa Alikiba, Seven Mosha kwenye mtandao wake wa Instagram na kuiandikia #WCW ikiwa na maana ya (Women Crush Wednesday).
Kitendo hicho cha Sallam kimeonesha ni jinsi gani hali ilivyokuwa shwari na hakuna tatizo lolote lililopo kati yao na upande wa Alikiba.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi