,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, October 13, 2016

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi, muungano na mazingira Muheshimiwa January Makamba hivi karibuni aletembelea ofisi za lebo ya muziki ya WCB Wasafi zilizopo pande za Sinza Dar es Salaam ili kushuhudia ufanyaji kazi wa vijana wa lebo hiyo ambayo iko chini ya msanii Diamond Platnumz.

Itazame hii video hapa chini kucheki jinsi ilivyokuwa ofisini humo wakati Muheshimiwa January Makambaalivyotembelea ofisini hapo.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi