,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, October 11, 2016

Mkuu wa Mkoa Wa Mbeya leo amekutana na watendaji wa kata na vijiji halmashauri YA Mbeya na kuwataka kusimamia usafi kuanzia uwanja wa ndege songwe,mji wa Mbalizi na maeneo yote NDANI ya halmashauri YA Mbeya 
Amewataka watendaji kukomesha utoro mashuleni kwa kutembelea shule ,kupata mahudhurio YA wanafunzi na kuwarejesha mashuleni wanafunzi wote watoro
 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi