,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, October 26, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla amewataka watendaji wa Vijiji na kata kusimamia sheria za mazingira kulinda vyanzo vya Maji 
Hayo ameyasema Leo kwenye mkutano na watendaji wa Vijiji na kata wilaya ya Rungwe na kusisitiza kuwa uharibifu wa mazingira na uchafuzi ktk vyanzo vya Maji vitendo hivi vinafanyika maeneo yao hivyo ni Muhimu wao kutoa Elimu YA utunzaji mazingira na kusimamia sheria YA mazingira na kutunza vyanzo vya Maji 
Amesema wananchi wasipo elimishwa TAJATI za uharibifu wa mazingira na kutoa imeamua sheria basi ni dhahiri Mkoa wa Mbeya utakuwa jangwa na vyanzo vya Maji vitatoeka hivyo ni wajibu kila kiongozi na mtendaji kuchukua hatua  

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi