,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, October 9, 2016

Asema ameandika historia kukutanisha vikundi 62 toka halmashauri 3wabunge , mabalozi wahudhuria na amewaomba watanzania kuendeleza utamaduni na ngoma za asili za makabila yetu 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amempongeza Naibu spika Dr Tulia Ackson kwa kuandaa TAMASHA kubwa la ngoma za jadi zinazohusiana vikundi 62 kutoka halmashauri za Rungwe, Busokelo na Kyela
Hayo ameyasema leo mjini Tukuyu wakati akifungua tamasha la ngoma za jadi lilihudhuria na Maelfu YA watu wakiwemo wabunge kutoka majimbo mbalimbali hapa nchini, mabalozi na wakuu wa taasisi mbalimbali hapa nchini
Mkuu wa Mkoa amempongeza naibu Spika na wabunge wa majimbo YA Kyela, busokelo na Rungwe kwa kuandaa na kufanikisha tamasha hilo muda muafaka wakati kikazi cha sasa wengi YA vijana hawajui mila na jadi YA makabila yao
Amewaomba watanzania kuenzi tamaduni na ngoma za makabila yao kwa ajili ya kuenzi na wakati huo huo kupata burudani za asili

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi