,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, October 29, 2016

 
Ni ujenzi wa njia za kupitisha wagonjwa
- Achangisha milioni 58 kati ya milioni 100 zinazohitajika
Mkuu wa Mkoa ameongoza harambee YA kuchangia fedha kwa ajili ya kujenga njia za kupitia wagonjwa kwenda wodini na sehemu YA kuhifadhia maiti 
Kumekuwa na tatizo la muda mrefu hasa wakati wa masika wagonjwa hosts tabu kupelekwa wodini na ndugu wa marehemu hushindwa kufika kwa haraka kwenye chumba cha kuhifadhia maiti kutokana na mvua na utelezi 
Gharama za ujenzi wa njia hizo ni shilingi milioni 100 na katika harambee YA leo Fedha na ahadi zilizopatikana ni shilingi milioni 58
Amewashukuru wadau waliochangia na amewaomba wananchi waendelee kuchangia kukamilisha ujenzi huo

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi