,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, October 10, 2016


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala leo asubuhi amekutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Kenya nchini Tanzania Hon Chirau Mwakwere . Katika mazungumzo wamekubaliana kudumisha ushirikiano na biashara. Balozi wa kenya amesema nchini Kenya kula mchele wa Mbeya ni fahari kubwa na unapendwa sana.
Mkuu wa Mkoa amemuomba balozi kuwashawishi wafanyabiashara na wawekezaji kuja Tanzania husani Mkoa wa Mbeya kuja kuwekeza na kufanya biashara.
0 comments:

Post a Comment

ufunguzi