,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, October 14, 2016


Miongoni mwa bilionea wa Afrika aliyekuwa
Mbunge wa Singida na CEO wa MeTLGroup, Mohammed Dewji, afunguka kuhusu Diamond platnumz.

moodewji-20161014-0002
Dewji amemwaga sifa kwa mwanamuziki Diamond Platnumz kuwa ni miongoni mwa wanamuziki wa wakubwa barani Afrika lakini mwenye uwelewa mzuri.
Kupitia account yake ya Instagram, Mohammed Dewji, aliweka picha yake akiwa na Diamond na kuandika maneno hayo kwa Kingereza yaliyo someka hivi..
moodewji-20161014-0001
Today afternoon with @DiamondPlatnumz 
👍🏼
 One of Africa’s biggest and smartest artists in the music industry #TanzaniansUnite 
🇹🇿
Unadhani Diamond Platnumz ni miongoni mwa wanamuziki wakubwa barani Africa na anauelewa mpana?

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi