,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, October 9, 2016

mod

Baada ya tetesi kuwa Mrembo Amber Lulu amekatwa Arusha na Madawa ya kulevya Gigy Money alihojiwa na Soudbrown kwenye U Heard na Kuongea maneno ambayo hayakumfurahisha Amber lulu.
Sasa Amber Lulu Ameibuka huko alipo na kuandika haya:"Muda ambao unaangaika kutafuta kiki ungekuwa unajifunza kuosha k na kutibu izo fangasi suguu ulizo nazo @gigy_money don't compare with me iz levels chokoraaaa paka la ambiance stay away from me"

Amber anadaiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na rapper Young Dee ameibuka na kuanza kumwagia matusi Giggy Money ambaye aliongea kwenye U-Heard ya Clouds FM na kutoa taarifa hizo za kukamatwa kwake na polisi.
“Muda ambao unahangaika kutafuta kiki ungekuwa unajifunza kuosha k na kutibu hizo fangasi suguu ulizo nazo @gigy_money don’t compare with me iz levels chokoraaaa paka la ambiance stay away from me,” ameandika Amber Lulu kwenye mtandao huo.
Mpaka sasa Giggy hajajibu lolote juu ya ujumbe huo wa matusi aliotumiwa. Amber ameshaonekana kwenye video kadhaa ikiwemo ‘Too Much’ ya Darassa, ‘Inde’ ya Dully Sykes na nyingine.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi