,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, October 2, 2016


Mrembo kutoka Bongoflevani Feza Kessy ambaye ameshawahi kuzichukua headlines baada ya kushiriki shindano la Big Brother Africaamejibu taarifa iliyokuwa ikimuhusisha Mrembo huyo kutoka na Mkali mwingine anayefanya vizuri kwenye midundo ya Hiphop Chid Benz, haya ndio yalikuwa majibu ya Feza Kessy kuhusu kuwahi kuwa na mahusiano na rapper Chid Benz.


‘Hata mimi nilisikiaga hizo taarifa lakini sio ukweli Chid Benz ni mshikaji wangu sana maana hata juzi nimetoka kuongea nae kwenye simu‘ Feza Kessy

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi