,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, October 15, 2016


Mwanadada mkali wa bongo movie, Shamsa Ford amekiri kupata raha ndani ya ndoa yake kwa sasa, kwani amejikuta ana furaha isiyo ya kifani.

Mwigizaji huyo miezi miwili iliyopita alifunga ndoa na mfanyabiashara wa maduka ya nguo, Chidi Mapenzi.
Shamsa amesema ndoa imempatia amani ya moyo ambayo alikuwa anaitafuta kwa muda mrefu. “Ninamshukuru Mungu kwa afya njema na kwa kila kitu, kikubwa ndoa imenibadilisha vitu vingi sana katika maisha yangu, kwanza imenifanya kuwa mwanamke kamili. Lakini pia ndoa imenifanya niache baadhi ya vitu ambavyo siwezi kuvifanya tena, kwa sababu chochote nachokifanya lazima niombe ruhusa yake.
“Pia nimekuwa na amani na furaha ambayo
naipata kwa mume wangu, na sasa hivi na enjoy maisha, nafuraha ambayo nilikuwa sina mara ya kwanza, kwa hiyo nikitendo ambacho namshukuru sana Mungu.”

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi