,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, October 21, 2016

Siku chache zilizopita ilikiki katika mitandao ya kijamii issue ya msanii Baraka Da Prince kumtukana Msamikwa kile tu alicho comment kwenye post yake ambayo alikuwa amempost mpenzi wake Naj.

Instagram photo by Perfecto Tv_BLnSG7MAoUY - JPG
Wengi walichukulia tofauti na kumuona Baraka Da Prince kama amepanic hivi ukizingatia pengine Msanialiandika hivyo kama utani tu na vitu kama hivyo.
Sasa Msami amepiga story na E-News ya EATV na kudai kuwa yeye hayuko kwenye level za Naj, yeye ni expensive sana kwa Naj, wala hawezi hata kumtongoza Naj kwasababu watu ambao yeye anawatongoza ni watu ambao wapo kwenye level zake na kuwatolea mfano warembo kama Irene Uwoya na Kajala.
Msami alidai kuwa Baraka aondoe presha na apunguze kiherehere kwasababu yeye ni bado boyfriend tu wa Naj na wala sio mume wala mchumba kwahivyo hawezi kuwa na mamlaka yoyote kwa Naj kwahiyo kila mtu anaweza kufanya chochote kwa mrembo huyo. Msami  aliamua kumtumia Baraka ujumbe mmoja hivi wa kejeri uliosikika kama “My Banana is so sweet”.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi