,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, October 22, 2016

Ni zaidi ya wiki 5 zimepita tangu ilipoachiwa audio ya ngoma ya “Nisamehe” ya Baraka Da Prince. Ngoma ambayo inazidi kufanya vizuri siku hadi siku.

Na ni siku 19 zimepita tangu video ya ngoma hiyo ipandishwe katika mtandao wa Youtube. Video ambayo ilipandishwa mtandaoni kwa mara ya kwanza na kudumu kwa masaa 5 tu na baadae kufutwa kutokana na vitu ambavyo vilikuwa havijakamilika katika uongozi wa msanii Baraka Da Prince.
Sasa Baraka Da Prince amepiga story na Perfect255 na kutuchana ni sababu gani zilipelekea video ya “Nisamehe” kuondolewa mtandaoni baada ya kupandishwa kwa mara ya kwanza.
Pia Baraka ametuchana ni rekodi gani ambayo ngoma ya “Nisamehe imeweka katika historia ya muziki wa Bongo Fleva.
Nakupa nafasi ya kumsikiliza hapa Baraka akibonga juu ya mambo hayo.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi