,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, October 16, 2016

damian
Damian Soul amefunguka sababu ya kuchelewa kwa video ya wimbo wake ‘Kaumba’ aliomshirikisha Vanessa Mdee.

Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa sababu ya kuchelewa ni kutokana na kubadilisha baadhi ya mifumo ya kuachia video hiyo.
“Wakati wake bado haujafika. Video ipo tayari muda wowote itatoka, kwa sasa nabadilisha baadhi ya mifumo ila muda ukifikia itaonekana,” amesema Damian.
Mpaka sasa ni miezi minne imepita tangu wimbo huo utoke Juni, mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi