,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, October 17, 2016

page
Binti wa mwanariadha wa Marekani na mshindi wa Olimpiki, Tyson Gay mwenye umri wa miaka 15 ameuawa kwa kupigwa risasi alipokuwa kwenye mgahawa huko Kentucky.

Trinity Gay, ambaye mwenyewe alikuwa ameanza kuwa nyota, amepigwa risasi ya shingoni akiwa kwenye mgahawa wa Cook Out huko Lexington mapema Jumapili. Alipelekwa hospitali na kufariki kutokana na majereha.
396fdf1700000578-3841390-image-a-55_1476633485816

396fdf0700000578-3841390-image-a-53_1476633371105
Kulikuwa na majibizano ya risasi kati ya gari mbili. Trinity, aliyefariki muda mfupi kabla ya saa 11 alfajiri hakuwepo kwenye gari lolote kati ya hayo na huenda alikuwa mpita njia tu.
Trinity alikuwa amefuata nyayo za baa yake kwa kukimbia mbio za mita 100 na 200 shuleni.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi