,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, October 29, 2016

Mtangazaji wa kipindi cha Ngazi kwa Ngazi, Salama Jabir amemwaga mchele wa ujio wa wimbo mpya wa Mwana Fa.

Salama Jabir aliwadokeza watazamaji wa kipindi chake kuhusu ujio wa wimbo mpya wa mwana Fa ambao ni collabo na mwanadada Vanessa Mdee.
“Mwana FA hivi karibuni atatuletea dude lake moja hivi, natoa za chini ya carpet amemshirikisha Vee Money, litakuwa linaitwaa, atakwambia mwenyewe asije akanikaba bure, na hivi siku hizi anaenda gym me sitaki matatizo na watu wengine..”  Salama alifunguka.
Hivi karibuni mwana FA alifunguka kuwa tayari ana video mpya mbili ameshoot Afrika kusini.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi